About


Alama Studio ni mahali pekee ambapo watu mbalimbali katika umri mdogo, wa kati na hata wazee, wanapata kujifunza, Kubuni na Kushare ujuzi wao kwa wengine. Alama Studio ipo kwa ajiri ya maswala mbalimbali ya Information Technolgy. Karibu ungana nasi. Jisikie huru kuuliza au kutoa mchango wako hata katika Lugha ya Kiswahili.

Ujuzi

80%
Computer Course
50%
Database System
75%
Photoshop
95%
Web Design

Uthamani Wetu

Kujifunza, Kubuni na Kushare.

Kuwa sababu ya watu kuishi sawasawa na Teknologia ya Habari na Mawasiliano. Ususani Tanzania.

Tumefanikiwa kutoa huduma mbalimbali kwa jamii yetu hitaji katika maswala ya website design, graphics desgin, Course za Computer , na Ushauri katika maswala mbalimbali ya Teknologia ya Habari na Mawasiliano.

Contact Info


Get in Touch

For any help and business services, let us know and yoyu will get notified within 24 hours.

Contact Info

Ni fahari yetu kukuhudumia
Phone: +255 (0) 759 61 27 61

Email: support@alamastudio.com
jahotinc.jm@gmail.com